Monday, 26 September 2016

Wasanii wa bongofleva waibuka washindi katika mechi ya kuchangia waathirika wa tetemeko Kagera

Wasanii wa muziki wa bongofleva wameibuka washindi kwa penati tano kwa nne dhidi ya wasanii wa bongomovie katika mechi ya hisani kwa ajili ya kuwachangia waathirika wa tetemeko la ardhi Bukoba. bongofleva-wakishangilia-ushindi Wasanii wa bongofleva wakishangia ubingwa wao
Mechi hiyo ilimalizika kwa timu hizo kutoka sare ya moja moja, magoli yaliyopatika katika kipindi cha kwanza. Goli la wasanii wa bongo movie lilifungwa na Mteze na dakika chache baadae H.Baba aliweza kuisawazishia timu yake kwa goli la kichwa.
Katika mechi nyingine kati ya wabunge wa Yanga na wabunge wa Simba, wabunge wa Yanga waliondoka na ushindi baada ya kuwafunga wabunge wa Simba goli 5 kwa 2. Angalia picha za matukio mbalimbali.
nape-akisalimiana-na-young-killer-msodoki Young Killer akisalimiana na Waziri, Nape
wasanii-wa-bongofleva-wakishangilia-goli Wasanii wakishangilia goli
washindi Washindi
full-shangwe-ubongoflevani
Full shangwe
golikipa-wa-timu-ya-bongofleva-tunda-man-akijaribu-kuokoa-mkwaju-wa-penati Tunda Man katika ubora wake baby-j-akiwa-na-mtu-wake-wa-karibu Baby Jay akiwa na mtu wake wa karibu godzilla-akijiandaa King Zilla
mashabiki Mashabiki
img_1316
img_1325
img_1327
img_1361
img_1391
img_1394
img_1395
img_1433
img_1435
img_1437
img_1438
img_1439
img_1442
img_1443
img_1444
img_1465
img_1468
img_1470
img_1486
img_1487
img_1489
img_1491
img_1510
img_1519
img_1543
img_1544
img_1545
img_1546
img_1559
img_1569
img_1609
img_1611
img_1612
img_1613
img_1623
img_1631
img_1637
img_1649
img_1651
img_1656
img_1695
img_1701
img_1708
img_1709
img_1751
img_1752


TAZAMA:NIMEKUWEKEA VIDEO MSANII WA BONGO MUVI DR CHENI ADAI HAJAWAHI KUCHEPUKA NJE YA NDOA

0 comments:

Post a Comment

Search This Blog

WATEMBELEAJI WETU

TAZAMA CHENI TV

RECENT POSTS

FOLLOW ME INSTAGRAM

OWNER:MC DR CHENI

Mob: +255 754 222 201 Email:drchenitz@gmail.com

ADMIN:LEWIS MBONDE

Mob: +255 658 194 194 Email:lewismbonde@gmail.com

LIKE MY PAGE FB

Popular Posts

Contact Form

Name

Email *

Message *

Blog Archive

BLOG RAFIKI

Powered by Blogger.