Wednesday, 23 August 2017

BREAKING NEWZZ:SIMBA WASHINDA KWA PENATI 5-4 DHIDI YA YANGA NGAO YA JAMII Rais wa TFF, Wallace Karia na Makamu wake Michael Wambura wakifurahia baada ya kumkabidhi Ngao ya Jamii Nahodha wa Simba, Method Mwanjale baada ya kuibuka na ushindi wa mikwaju ya penari 5-4 kaika mchezo wa ngao ya Jamii wa ufunguzi wa Ligi Kuu Bara inayoanza jumamosi wiki hii. Katika mchezo huo timu hizo zilitoka sare ya 0-0 ndani ya dakika 90.
 Kiungo mpya wa Yanga, Papy Tishishimbi, akimtoka Emmanuel Okwi, wakati wa mchezo huo.
 Niyonzima akifanya yake
 Donald Ngoma akiwania mpira na Salim Mbonde 
Raphael Daud waYanga (kulia) akiwania mpira na Erasto Nyoni

Kiungo wa Yanga Haruna Niyonzima akiwania mpira wa mshambuliaji wa Yanga Donald ngoma katika mchezo wa ufunguzi wa Ligi Ngao ya Jamii unaoendelea hivi Uwanja wa Taifa.
Kiungo wa Yanga Rafael Daud akimruka beki wa Simba Method Mwanjali katika mchezo wa ufunguzi wa Ligi Ngao ya Jamii unaoendelea hivi sasa Uwanja wa Taifa
Beki wa kati wa Yanga Kelvin Yondani na mshabuliaji wa Simba Laudit Mavugo wakigombania mpira katika mchezo wa ufunguzi wa ligi wa Ngao ya Jamii unaoendelea hivi sasa Uwanja wa Taifa.
Mshambuliaji wa Yanga Donald Ngoma akimruka beki wa Simba Method Mwanjali katika mchezo wa ufunguzi wa ligi wa Ngao ya Jamii unaoendelea sasa hivi Uwanja wa Taifa
Golikipa Rostand Youthe akiruka juu na  kudaka mpira akiwa sambamba na mshabuliaji wa Simba Emanuel Okwi.
Kiungo wa Simba Haruna Niyonzima akipiga pigo la adhabu nje ya kumi na nane
Mshambuliaji wa Yanga Donald Ngoma akipambana na beki wa kati wa Simba Salim Mbonde katika mchezo wa ufunguzi wa ligi Ngao ya Jamii.
Mashabiki wa timu ya Simba
Mashabiki wa timu ya Yanga
Kikosi cha timu ya Simba
Kikosi cha timu ya Yanga
TAZAMA:NIMEKUWEKEA VIDEO MSANII WA BONGO MUVI DR CHENI ADAI HAJAWAHI KUCHEPUKA NJE YA NDOA

0 comments:

Post a Comment

Search This Blog

WATEMBELEAJI WETU

TAZAMA CHENI TV

RECENT POSTS

FOLLOW ME INSTAGRAM

OWNER:MC DR CHENI

Mob: +255 754 222 201 Email:drchenitz@gmail.com

ADMIN:LEWIS MBONDE

Mob: +255 658 194 194 Email:lewismbonde@gmail.com

LIKE MY PAGE FB

Popular Posts

Contact Form

Name

Email *

Message *

Blog Archive

BLOG RAFIKI

Powered by Blogger.